Monday, February 22, 2016

blog ya habari za teknolojia tanzania

Hii ni blog ya habari za teknolojia tanzania. Hapa utapata elimu kuhusu teknolojia,matumizi ya teknolojia husika madhara ya tenkolojia husika uvumbuzi unaofanywa duniani na habari nyingine kede kede.

Unaweza kushiriki kwenye mtandao huu kwa kuandika makala za kiteknolojia au kuuliza swali na ukajibiwa kwa kuandika email na kuituma kwenda ijuekompyuta.tekno@blogger.com hapo hapo makala yako au ujumbe wako utafika hapa mtandaoni ndani ya dakika moja

No comments:

Post a Comment